Leo Disemba 13, 2025 hafla ya utoaji Tuzo za Muziki Tanzania(TMA) 2025 kwa wasanii wa muziki waliofanya vizuri katika maeneo mbalimbali nchini ilitarajiwa kufanyika. Taarifa iliyotolewa na Baraza la Sanaa Tanzania(BASATA) imeeleza kuwa zoezi hilo halitafanyika mpaka wakati mwingine. “Tunawataarifu kuwa hafla ya TMA iliyokuwa imepangwa kufanyika tarehe 13/12/2025 imeahirishwa mpaka pale tarehe nyingine itakapotangazwa.” […] The post BASATA Yasitisha Hafla ya TMA 2025 Bila Kutoa Sababu appeared first on Global Publishers .