Mbaroni kwa tuhuma kuwatapeli kimapenzi ‘mishangazi’ mtandaoni

Abu Trica anakabiliwa na mashtaka nchini Marekani ya kula njama ya kufanya udanganyifu wa kielektroniki (wire fraud) na utakatishaji wa fedha na akipatikana na hatia, anaweza kuhukumiwa kifungo cha hadi miaka 20 jela.