RAIS Samia Suluhu Hassan ameongoza familia, viongozi, wabunge na waombolezaji wengine, katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Jenista Joakim Mhagama, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki la Mwenyeheri Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, leo Desemba13, 2025. Akizungumza katika ibada hiyo kuhusu Jenista Rais Samia amesema: … The post Samia: Umetimiza wajibu wako kwa uaminifu mkubwa first appeared on HabariLeo .