Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaja marehemu Jenista Mhagama kuwa kiongozi jasiri, mlezi wa wengi na nguzo muhimu ya matumaini kwa wanawake na vijana, aliyetoa mchango wa kipekee katika Bunge, Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza leo Desemba 13, 2025 katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kiwanja cha Ndege […] The post Rais Samia: Jenista Mhagama Alikuwa Kiongozi Jasiri na Nguzo ya Matumaini kwa Wanawake – Video appeared first on Global Publishers .