Jinsi ya Kuwafanya Wateja Wako Wawe na Furaha

RAFIKI yangu, unahitaji kuwafanya wateja wako wawe na furaha. Unahitaji kuwafanya wawe wateja wanaokuja kwako kila mara na waweze kuleta marafiki zao. Kama utakuwa na wateja wasio na furaha, wanaweza wakasambaza maneno ya siyo mazuri kuhusu biashara yako kwa watu wengine. Sasa unafanya nini kuhakikisha wana furaha na biashara yako? Jitahidi kuwafanya wateja wako wapende […] The post Jinsi ya Kuwafanya Wateja Wako Wawe na Furaha appeared first on Global Publishers .