UMOJA wa Mataifa (UN) umesema Tanzania imeendelea kuwa mfano wa amani na mshikamano ndani ya Afrika na duniani kwa ujumla. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres pia alisema Tanzania imezidi kuwa imara licha ya amani yake kujaribiwa katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu. Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa … The post UN yaisifu Tanzania kuwa mfano wa amani first appeared on HabariLeo .