Lionel Messi akiwa nchini India wakati wa ziara yake ya GOAT, baada ya sanamu yake mpya ya futi 70 kuzinduliwa. Ziara hii itakuwa yenye umuhimu katika idara ya sporti nchini humo baadhi ya wanasporti mashuhuri. @fabriziorom #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya