Watanzania Tunzeni Akiba Ya Chakula: Waziri Mkuu

Ahimiza matumizi ya mbolea na mbegu za mazao ya muda mfupi WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka Watanzania watunze akiba ya chakula walichonacho na waepuke matumizi yasiyofaa kutokana na hali ya kuchelewa kwa msimu wa mvua. Waziri Mkuu ametoa wito huo leo jioni (Jumapili, Desemba 14, 2025) wakati akizungumza na baadhi ya Wakuu wa Mikoa […] The post Watanzania Tunzeni Akiba Ya Chakula: Waziri Mkuu appeared first on Global Publishers .