Hatima aliyewahi kuwa waziri katika Serikali ya awamu ya sita, Geofrey Mwambe itajulikana leo Jumatatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.