KIGOMA: JESHI la Magereza wilayani Kibondo mkoani Kigoma limeanza kutumia mkaa mbadala unaotokana na mchanganyiko wa maranda ya miti na udongo unaozalishwa ndani ya gereza hilo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa agizo la Serikali la matumizi ya nishati safi ya kupikia. Hayo yamebainika wakati wataalamu kutoka Wizara ya Nishati walipotembelea gereza hilo kwa lengo … The post Gereza la Kibondo labuni mkaa mbadala nishati safi first appeared on HabariLeo .