Waziri Mkuu Nchemba Awali Songea Kushiriki Ibada ya Heshima za Mwisho Jenista Mhagama Peramiho

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Desemba 15, 2025 amewasili Mjini Songea ambako atashiriki katika Ibada ya kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Jenista Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Peramisho na Waziri Mstaafu, inayofanyika kwenye Kanisa Katoliki Peramiho. Jenista Mhagama alifariki Desemba 11, 2025 kwa maradhi ya moyo. The post Waziri Mkuu Nchemba Awali Songea Kushiriki Ibada ya Heshima za Mwisho Jenista Mhagama Peramiho appeared first on Global Publishers .