TRAKOMA ni ugonjwa wa macho unaoweza kuzuilika na kutibika, na ukiachwa bila matibabu husababisha upofu wa kudumu. Kwa mujibu wa madaktari bingwa wa magonjwa ya macho, ugonjwa husababishwa na bakteria anayejulikana kwa jina la ‘Chlamydia trachomatis’ na huenea kwa njia ya kugusana moja kwa moja na macho au uso wa mtu aliyeambukizwa. The post Presha ya macho inavyowatesa watu wasiooona first appeared on HabariLeo .