Wanawake wanavyohimiza amani kulilinda taifa

BAADA ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025 kupita, serikali imesisitiza kuwa inachukua hatua ya maridhiano kuhakikisha mazungumzo kati yake na makundi mbalimbali ili kujenga taifa lenye amani na umoja. The post Wanawake wanavyohimiza amani kulilinda taifa first appeared on HabariLeo .