Mwambe aachiwa kwa dhamana, atuhumiwa kutaka kumuua Mkuu wa Polisi

Aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na baadae Viwanda na Biashara, Geofrey Mwambe ameachiwa kwa dhamana katika Kituo cha Polisi cha Kati jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa wakili wa Mwambe, Hekima Mwasipu amesema mteja wake aliachiwa kwa dhamana jana Desemba 14, 2025 na kwamba dhamana hiyo imetolewa na Jeshi la …