PICHA: Matukio mkutano wa 9 mkuu majeshi ya ulinzi

TANGA: Matukio mbalimbali wakati wa Mkutano wa 9 wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na makamanda uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga. Mkutano huo wa CDF na Makamanda ulifunguliwa na rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dk Samia Suluhu Hassan leo. … The post PICHA: Matukio mkutano wa 9 mkuu majeshi ya ulinzi first appeared on HabariLeo .