Wananchi kutalii kwa namna yake siku kuu za Mwisho wa Mwaka

Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imezindua rasmi kampeni ya msimu wa sikukuu “ Funga mwaka kijanja Talii ( season two)” ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za Serikali katika kuhamasisha utalii wa ndani na kuongeza ushiriki wa Watanzania katika kutembelea vivutio vya taifa lao, hususan kipindi cha mwisho wa mwaka. Uzinduzi wa kampeni hiyo umefanyika leo, …