Wamiliki wa magari watakiwa kuwasikiliza madereva kudhibiti ajali

Wamiliki wa magari yanayosafirisha abiria nchini, wametakiwa kufuata ushauri wa madereva badala ya kuwaingilia kwa kuwapangia ratiba ngumu za safari hali inayochangia ongezeko la ajali.