Hans Rafael azungumza mazito usajili wa Yanga dirisha dogo msimu huu

HANS RAFAEL:ENG HERSI ANAFAA KUWA RAIS WA CAF IPO SIKU Bongofive tukiwa na mahojiano na mchambuzi @hansrafael14 amefunguka juu ya maono aliyonayo Rais wa klabu ya Yanga Eng Hersi Saidi na akidai kuwa kwa uwezo wake ipo siku atakuwa Rais wa CAF.   Imeandaliwa na @witnessflavian24 na @johnbosco_mbanga