Hans Rafael afunguka mipango ya Yanga katika usajili huu

HANS RAFAEL AFICHUA USAJILI WOTE WA YANGA DIRISHA DOGO Mchambuzi @hansrafael14 Leo akiwa na mahojiano na Bongofive amefungukwa kwa undani zaidi usajili utakaopigwa na klabu ya Yanga katika dirisha dogo la usajili linalotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni. Leo amefunguka kwa undani zaidi Uwezo wa mshambuliaji Depu anaehitajika zaidi katika viunga vya Jangwani na Kocha Pedro Goncalves …