Hans Rafael atoa asilimia 3 Simba kufuzu robo fainali CAF

SIMBA INA ASILIMIA 3 TU KUFUZU ROBO FAINALI YA CAF MSIMU HUU Mchambuzi @hansrafael14 Leo akiwa na mahojiano na Bongofive ametka tathimini Yake juu ya mwenendo wa klabu ya Simba katika Klabu bingwa Afrika na kudai kuwa anaona klabu ya Simba ina asilimia 3 tu za kufuzu hatua ya Robo fainali misimu huu. Je, unakubaliana …