Serikali yajizatiti kukabili upungufu wa maji Dar, Pwani

DAR ES SALAAM: Serikali itaendelea kuchukua hatua zote za dharura kuhakikisha mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inaendelea kupata huduma ya maji kwa kadri inavyowezekana, ikiwa ni pamoja na kutumia kikamilifu visima vyote vya maji vilivyopo katika eneo la Kigamboni. Hayo yamesemwa na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, mara baada ya kutembelea na kukagua … The post Serikali yajizatiti kukabili upungufu wa maji Dar, Pwani first appeared on HabariLeo .