Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa udaktari, Ian Gikonyo (18), alifariki kwa kuzama alipokuwa akiogelea katika bwawa la Hospitali ya Aga Khan University, Parklands, Nairobi, huku polisi wakianza uchunguzi wa tukio hilo.
#HabariZaJambo #KituoChaWakenya