OUT Yatangaza Ajira Mpya 15 za Tutorial Assistant Kanda Mbalimbali

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetangaza nafasi mbalimbali za ajira kwa kada ya Tutorial Assistant katika fani tofauti, kwa lengo la kuimarisha rasilimali watu na kutekeleza dhamira ya kutoa elimu bora, rahisi na inayopatikana kwa wote. Kwa mujibu wa tangazo hilo lililotolewa Desemba 10, 2025, OUT inahitaji wataalamu wenye sifa stahiki kwa vituo vyake […] The post OUT Yatangaza Ajira Mpya 15 za Tutorial Assistant Kanda Mbalimbali appeared first on Global Publishers .