Sababu Zinazofanya Gari la Rais wa Marekani Liogopewe Duniani – Video

Rais wa Marekani ni kiongozi wa taifa lenye nguvu kubwa zaidi kisiasa, kiuchumi na kijeshi duniani. Kwa nafasi hiyo nyeti, usalama wake hupewa kipaumbele cha juu kabisa. Ndiyo maana katika kila safari, tukio rasmi au ziara ya kimataifa, Rais husafiri ndani ya gari maalum linalojulikana kwa jina la “The Beast”, au Cadillac One gari ambalo […] The post Sababu Zinazofanya Gari la Rais wa Marekani Liogopewe Duniani – Video appeared first on Global Publishers .