Katika mechi iliyojaa taharuki, Manchester United walilemewa kutwaa ushindi. Vijana wa Bournemouth walijituma na kuweza kusawazisha dakika za mwisho bao ambalo liliwavunja moyo mashabiki wa Manchester United ikizingatiwa walikuwa nyumbani. #GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya