Serikali yatangaza kulifanya mabadiliko Jeshi la Magereza

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene amesema kuna haja ya kubadili Mfumo wa Magereza nchini ili kuendana na kasi ya dunia huku akigusia dhamira ya serikali kupitia baadhi ya sheria ambazo tumerithi kutoka kwa wakoloni na kuzifanyia mabadiliko ili kuweza kuboresha masuala ya utoaji haki katika vyombo mbalimbali vya haki jinai ikiwemo Jeshi …