Rais Samia: JWTZ Jiepusheni na Mashinikizo ya Kisiasa, Bakini Jeshi la Wananchi – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amelitaka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kujiepusha na mashinikizo ya kisiasa, akisisitiza kuwa pamoja na umuhimu wa mshikamano kati ya uongozi wa kisiasa na uongozi wa kijeshi, jeshi hilo linapaswa kubaki huru na siasa za vyama. Rais Samia amesema […] The post Rais Samia: JWTZ Jiepusheni na Mashinikizo ya Kisiasa, Bakini Jeshi la Wananchi – Video appeared first on Global Publishers .