Mradi wa reli ya SGR kutoka Naivasha hadi Kisumu itanufaika na mpango mpya wa ufadhili ulioidhinishwa na Baraza la Mawaziri unaolenga kuharakisha utekelezaji wa miundombinu na kupunguza mzigo wa kifedha kwa serikali.
#GidiNaGhostAsubuhi #KituoChaWakenya