Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, ambao ni Mkuu wa Idara ya Fedha na Afisa Utumishi na Rasilimali Watu, wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma za usimamizi dhaifu wa fedha za miradi ya maendeleo inayotekelezwa wilayani humo. Hatua hiyo imeelekezwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) […] The post Watumishi Wawili Wasimamishwa Kazi Mafia Kufuatia Dosari Za Usimamizi Wa Fedha Za Miradi appeared first on Global Publishers .