Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeeleo ya Vijana, Joel Nanauka ameeleza dhamira ya Serikali katika kuboresha vituo vya maendeleo ya vijana nchini ili viwe chachu ya kuwawezesha vijana kiuchumi, kijamii na kielimu. Hayo yameelezwa leo 15 Disemba, 2025 na Waziri Nanauka alipotembelea kituo cha Vijana cha Sasanda kilichopo mkoani Songwe kwa lengo la …