AHMED ALLY AMVAA ALI KAMWE KISA KUCHELEWA KWENYE PRESS LEO HII Meneja wa Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally Leo wakiwa kwenye mkutano na Mwanahabari amemjia juu Afisa habari wa klabu ya Yanga kwa uchelewaji wake. Kuangalia video kamili tembelea kurasa wetu wa Youtube Bongofive Imeandaliwa na @witnessflavian24 na @johnbosco_mbanga