Africa Healthy Awards Yaiomba Serikali Kuimarisha Huduma za Afya Vijijini

Jukwaa la tuzo za afya barani Afrika, Africa Healthy Awards, limeitaka Serikali kuendelea kuimarisha huduma za afya vijijini, ikiwemo kuongeza idadi ya madaktari na wataalamu wa afya katika hospitali na vituo vya kutolea huduma ili kuboresha upatikanaji wa huduma bora kwa wananchi. Rai hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Africa Healthy …