Simba Yapunguza Bei ya Jezi Zote Msimu Huu wa Sikukuu!

Klabu ya Simba Sc kwa kushirikiana na JayRutty wametoa ofa ya punguzo la bei ya jezi zake katika kipindi hiki cha msimu wa sikukuu ya Christmas na Mwaka Mpya ambapo jezi zote za klabu hiyo sasa zitauzwa kwa Tsh 12000 tofauti na Tsh Tsh. 45,000 ilivyokuwa inafahamika. Akizungumza na waandishi wa Habari leo Desemba 16, […] The post Simba Yapunguza Bei ya Jezi Zote Msimu Huu wa Sikukuu! appeared first on Global Publishers .