Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa uwazi na uwajibikaji na kubaini makosa kabla hayajawa makubwa, pia viongozi wameelekezwa kuacha alama kwa maeneo ama taasisi wanazokabidhiwa kuziongoza.