Wanafunzi 40 wateuliwa mabalozi wa utalii, uhifadhi
Jumla ya wanafunzi 40 wa shule za sekondari zinazopatikana ndani ya eneo la hifadhi ya jamii ya wanyamapori ya Burunge, wilayani Babati, wameteuliwa kuwa mabalozi wa kuhamasisha utalii na uhifadhi wa mazingira.