NGO zahimizwa kujenga misingi imara ya uongozi

Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa uwazi na uwajibikaji na kubaini makosa kabla hayajawa makubwa, pia viongozi wameelekezwa kuacha alama kwa maeneo ama taasisi wanazokabidhiwa kuziongoza.