DPP amfutia kesi ya uhaini Irene na kumwachia huru

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumuachia huru, mshtakiwa Irene Mabeche (58) aliyekuwa anakabiliwa na kesi ya Uhaini, baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi yake.‎