Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limeandaa viwango vya ufanisi wa nishati ya umeme kwa vifaa vinavyotumia nishati hiyo.