Makamu wa Rais wa Jam huri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza waombolezaji kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Mhagama, yaliyofanyika katika Kijiji cha Ruanda Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma leo tarehe 16 Desemba 2025. Akitoa salamu za rambirambi mara baada ya mazishi hayo, Makamu wa Rais […] The post Makamu wa Rais Nchimbi Aongoza Mazishi ya Jenista Mhagama Ruanda – Mbinga (Picha +Video) appeared first on Global Publishers .