Mjomba wa msichana mwenye umri wa miaka 17 amefikishwa mahakamani Garissa na kushtakiwa kwa mauaji ya mpwa wake, Safiya Bilal, baada ya kudaiwa kumbaka kisha kumnyonga na kupanga mazishi ya siri kwa madai ya uongo.
#HabariZaJambo #KituoChaWakenya