Wakati aliyekuwa mbunge wa Peramiho (CCM), Jenista Mhagama akihitimisha safari yake ya mwisho duniani kwa kuzikwa, kero ya barabara imeibuliwa kwenye maziko yake na kutafutiwa ufumbuzi.