Wizara ya Fedha imetoa wito kwa wastaafu wa Wilaya ya Dodoma Mjini wanaolipwa na Hazina kufika Ofisi za Hazina Dodoma ili kupatiwa vitambulisho vya wastaafu vya kielektroniki.