Wizara ya Ujenzi yang’ara tuzo za TPSIA 2025

Wizara ya Ujenzi imetunukiwa tuzo ya Wizara Iliyofanya kazi kwa kiwango bora 2025 katika Tuzo za Utumishi wa Umma na Ubunifu (TPSIA 2025), zilizofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam usiku wa kuamkia tarehe 17, Disemba 2025. Akipokea tuzo hiyo kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara Ujenzi, Mkurugenzi Msaidizi Rasilimali Watu Bi …