Dkt. Mwigulu Atoa Amri Kali Tunduma, Akagua Uharibifu wa Miundombinu – Video

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 17, 2025 akizungumza na wakazi wa eneo la Tunduma mkoani Songwe ambapo yupo katika ziara ya kikazi ya kukagua uharibifu wa miundombinu ya umma na mali binafsi zilizoharibiwa na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025. Akizungumza katika mkutano huo Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewaagiza Watendaji Wakuu wa Wakala ya Barabara […] The post Dkt. Mwigulu Atoa Amri Kali Tunduma, Akagua Uharibifu wa Miundombinu – Video appeared first on Global Publishers .