Mandala atoa la moyoni Eng Hersi kuitangaza vibaya Yanga

KINACHOTUUMA ENG HERSI KWENDA KUTUSEMEA SIMBA FIFA Shabiki wa klabu ya Simba amejitokeza kulalamikia video iliyokuwa ikitamba mitandaoni kuwa Rais wa klabu ya Yanga akiwa anatolea mfano migogoro inayoendelea kwenye klabu ya Simba, Shabiki huyo ametokea kuumizwa na jambo hilo na kutolea la moyoni. Je, Wanayanga mnakubaliana na hii kauli ya Mandala??   Imeandaliwa na …