Marekani yaziondolea viza nchi 15 ikiwamo Tanzania kuingia nchini humo

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Marekani, sababu ya kuzia makundi kadhaa ya viza ni kutokana na waombaji kupitiliza muda wa ruhusa iliyotolewa na ‘kuzamia.’