Mazoezi ya mwili ni nguzo muhimu ya afya njema kwa binadamu. Licha ya watu wengi kuyachukulia kama jambo la hiari, wataalamu wa afya wanasisitiza kuwa mazoezi ni hitaji la msingi kwa kila mtu, bila kujali umri au jinsia. Swali kubwa ambalo limekuwa likiulizwa mara kwa mara ni: binadamu anatakiwa kufanya mazoezi kwa muda gani kwa […] The post Kwa Nini Mazoezi ya Kila Siku Ni Muhimu kwa Afya, Mwongozo Kamili Upo Hapa appeared first on Global Publishers .