Asahi Group kununua hisa za Diageo katika EABLNairobi, Desemba 17, 2025: Kampuni ya East African Breweries PLC (EABL) imetangaza kuwa kampuni ya Diageo imekubali kuuza hisa zake zote za EABL na umiliki wake katika kampuni ya vinywaji vikali ya UDV (Kenya) Limited kwa kampuni ya Asahi Group kutoka Japan. Hatua hii inaifanya Asahi kuwa kampuni ya kwanza kubwa kutoka Japan kuingia rasmi na kuwekeza kwa kiwango kikubwa katika biashara ya vinywaji barani Afrika. Baada ya ununuzi huu kukamilika, Asahi itakuwa mmiliki mkuu wa EABL na itasimamia shughuli zake zote nchini Kenya, Uganda na Tanzania. Kampuni hiyo imeeleza kuwa itaendelea kuziendeleza […] The post Asahi Group kununua hisa za Diageo katika EABL appeared first on SwahiliTimes .