Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Bw. Plasduce Mbossa, Desemba 16, 2025 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho, ambaye kwa sasa ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wajumbe […] The post MBOSSA AKABIDHIWA RASMI OFISI, AIPONGEZA TANESCO UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME appeared first on Jambo TV Online .