Serikali Yaahidi Mazungumzo na Marekani Kufuatia Vikwazo vya Viza

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuufahamisha umma kuwa Serikali ya Marekani imetangaza kuiweka Tanzania katika kundi la nchi zilizowekewa vikwazo visivyokamilika vya kuingia nchini Marekani (partial restrictions and entry limitation). Tangazo la kuiweka Tanzania katika vikwazo hivyo limetangazwa na […] The post Serikali Yaahidi Mazungumzo na Marekani Kufuatia Vikwazo vya Viza appeared first on Global Publishers .